Download.it
Programu
Sinema & Vipindi
Sinema & Vipindi
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Ni toleo jipya na la sasa la Microsoft ofisi baada ya lile la 2016
Leseni ya programu: Bila malipo
Mfumo wa bure unaokuwezesha kuangalia majedwali yaliyotengezwa na programu ya Microsoft Excel bila kuwa na umiliki wa Microsoft Office
bando za programu za uzalishaji katika Microsoft zinazotumika katika ulinzi na urekebishaji wa kompyuta
Boresha programy yako ya kiofisi kwenda kwenye toleo la Microsoft Office 2010 ambalo huboresha usalama na ufanisi
Programu ya bure na rahisi kuitumia itumikayo kuzuia virusi na programu zenye madhara kwenye kifaa chako kama vile kompyuta
Leseni ya programu: Toleo Kamili
Programu ya kuchakata maneno maalumu kwa ajili ya uchapaji wa taarifa fupi kama vile barua au taarifa ndefu kama vile vitabu
Ni programu kwa shughuli za kiofisi kutoka Microsoft ambayo ndani yake kuna Word, Excel, PowerPoint, Outlook na OneNote
Inakupa mamia ya marekebisho ya vijidudu na maboresho kwa Microsofot inayopelekea utendaji kazi
Toleo la mwaka 2016 kutoka kwenye programu maarufu ya ofisi ya kampuni ya Microsoft ambayo ni maalumu kwa matumizi binafsi nyumbani au mashuleni
Programu hii ya bure na rahisi inatoa mbadala wa Microsoft ofisi
Programu ya kimahesabu na kihasibu kutoka Microsoft iliyosheheni fomula mbalimbali na hivyo kukuwezesha kuandaa mahesabu ya aina mbalimbali kwa urahisi zaidi
Programu ya kiofisi iliyosheheni nyenzo kadhaa zinazokuwezesha kuchapa maneno, kufanya shughuli za kimahesabu, kuandaa ripoti, mada na mambo mengine mbalimbali
Programu ya bure kutoka Microsoft inayoboresha utendaji wa programu ya kiofisi toleo mwaka 2007 na kutibu matatizo mbalimbali ya hapo kabla
Programu maarufu ya uchakataji na uchapaji maneno inayofanya kazi kwenye vifaa vya aina na vinavyotumia mifumo endeshi mbalimbali ya kompyuta